Huku mitandani watu wanajiuliza kuwa eti kula wali maharage ni kujishusha ? baada ya Lemutuz kupost picha akiwa anakula wali maharage huku akiwa ameuganisha na ile ya Billgates ....
Soma Comment ya Lemutuz hapo juu alafu utuambie kama kula wali maharage ni kujishusha....