Kuna jambo la kufurahisha kama sio la kushangaza Tajiri na multi millionaire na mtu mwenye brand kubwa na ushawishi Bill gates anatembea bila ya kuwa na mabaunsa au walinzi.Tajiri huyu ana utajiri wa Dollar Billion 90
Diamond na Utajiri wake wa Bilioni 1 akiwa na Mlinzi wake