SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 14 Juni 2017

T media news

Msigwa: Wawekezaji Wasiitwe Wezi, Waliwekeza Kisheria..!!!


Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amesema haipendezi kuwaita wawekezaji wa madini wezi kwani waliwekeza kwa kufuata sheria na taratibu zote.

Amesema mara zote Rais wa CCM hukabidhiwa ilani ya chama ambayo ina sera kwa ajili ya utekelezaji wa masuala mbalimbali yakiwamo madini.

"Mtuambie (CCM) Sera yenu ya madini ni ipi?" amesema Msigwa.