
Mrembo Wema Sepetu Ameamua Kukikimbia Chama cha CCM baada ya Mh Paul Makonda Kumjumuisha katika watu wanaohusika na Madawa ya Kulevya na kufikishwa mahakani..Picha kadhaa zimewekwa mtandaoni zikionyesha Wema Sepetu akiwa na Viongozi wa Chadema Akiwepo Muheshimiwa Mbowe....