SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 7 Februari 2017

T media news

RICH MAVOKO WA WCB YUPO TAYARI KUFANYA COLLABO NA ALIKIBA

Ikiwa inafahamika fika kuwa Alikiba ndiye hasimu mkubwa wa Diamond Platnumz ambaye ndio bosi wa lebo ya WCB Wasafi ambayo inawamiliki wakali kama Rich mavoko, Rayvanny na hata Harmonize.

Sasa weka mbali tofauti za Alikiba na bosi huyo wa WCB, Rich Mavoko ametusanua kuwa endapo ikitokea collabo ya kufanya na Alikiba bila kusita ataruka nayo collabo hiyo.

Ni ijumaa iliyopita kwenye kipindi cha XXL ambapo ngoma ya Kokoro ilisimama kama jiwe la wiki, ndipo ambapo  Rich Mavoko aliweza kupiga story na kufunguka mengi kuhusu muziki wake na mengineyo kibao.

Niliidaka clip ya Rich Mavoko wakati akizungumza hayo, play hii video hapa chini kumsikiliza Mavoko akifunguka.