SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 9 Februari 2017

T media news

MSANII BARAKA DA PRINCE AJIBU KAULI YA NAY WA MITEGO

rapper Nay wa Mitego alivyo funguka kuhusiana na kitendo cha Baraka Da Prince kumsaini Lord Eyes na kuwa kama manager wake.

Kama ilikupita play hii video hapa chini kukisikiliza kile ambacho Nay wa Mitego alikizungumza kuhusiana na kitendo hicho cha Baraka Da Prince kumsaini Lord Eyes.

Kama umeifollow page ya @perfectotv kwenye mtandao wa Instagram pia naamini ulikutana na comment ya Baraka Da Prince kuhusiana na kauli hiyo ya rapper Nay wa Mitego. Comment ambayo ilisomeka kama “Sitoi kiki mzee, kwa waliopoteza nafasi..punguza mawazo dada neema maana unaropoka sana hapa kiki umekosa”


Comment ya Baraka Da Prince

Picha limeendelea leo hii kwa Baraka Da Prince kupiga story na Perfect255 na kudai kuwa hana haja ya kujibizana na Nay wa Mitego ila majibu yanakuja kwa vitendo muda sio mrefu kwa Lord Eyes kuachia ngoma kali na vichupa vikali.

Uhondo wote nimeukusanya na kukuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kumsikiliza jinsi mchongo mzima ulivyokuwa.