SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 9 Februari 2017

T media news

C.E.O WA EFM DJ MAJIZZO AKAMATWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA


Kwenye mkutano kati ya RC Makonda na waandishi wa habari aliulizwa swali kama ni kweli Majizzo(C.E.O wa E-FM/TV-E)? Mh Makonda alijibu ni kweli anashikiliwa kwa mahojiano.

Taarifa ni kwamba Dj Majizzo alikamatwa juzi nyumbani kwake na kupekwa kituo cha kati kwa mahojiano.

Kwa wale wasio mfahamu vyema Majizzo ni yule kijana anaye miliki kituo cha E Fm cha Jijini Dar Es Salaam