SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 20 Februari 2017

T media news

MBOWE AITIKIA WITO WA POLISI


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mchana huu,

katika kituo cha Polisi kati, Jijini Dar es salaam. tayari kwa mahojiano juu ya tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya zilizotolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.