SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 17 Februari 2017

T media news

CARLOS SANTANA ANYOOSHA MAELEZO KUHUSU BEYONCE

Santana ameamua kunyoosha maelezo kuhusu ujumbe wake juu ya Beyonce kwa kusema kwamba Beyonce sio mwimbaji ndio maana kashindwa kwenye tuzo za Grammy.

Kupitia kurasa yake ya Facebook, Carlos Santana ameamua kuilekebisha kauli yake ya kusema kwamba Beyonce sio mwanamuziki, Santana ameamua kufunguka na kusema kwamba mashabiki waliielewa vibaya kauli yake wakati anafanya mahojiano kwenye Australian Press.

“My comment about Beyonce was regretfully taken out of context, “I have the utmost respect for her as an artist and a person. She deserves all the accolades that come her way. I wish Beyonce and her family all the best.”