SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

T media news

RASMI BIFU LA JAY DEE NA CLOUDS LAMALIZIKA

Unaambiwa Kwa Sasa hakuna cha Komando wala nini, ile bifu kubwa kuwahi kutokea kwenye game ya Bongo Flava kati ya Clouds FM na Lady Jay Dee

imezikwa rasmi baada ya Uongozi wa Lady Jay Dee Kuruhusu kituo hicho cha radio kupiga nyimbo za Lady Jay Dee iwezavyo kuanzia sasa...