
serikali imewapa onyo kali gazeti la kila siku la mtanzania kutokana na kuandika habari za upotoshaji kwa umma.
upotoshaji waliofanya gazeti hilo ni kuandika kuhusu kuzuiwa kwa Rais Mstaafu wa awamu ya nne kuzuiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kitu ambacho sio kweli.
