SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 1 Desemba 2016

T media news

Kipa afunga goli kwa Tik Tak dakika 95.


Kipa huyu ameingia kwenye vichwa vya habari huko England toka South Africa ambapo ameikoa club yake kupoteza point zote kwenye mechi ya ligi kuu ya South Africa.

Kipa Oscarine Masuluke wa Baroka FC alipiga tik tak kwenye kona ya gombani goli dhidi ya Orlando Pirates na kufanya matokeo yaishe 1-1.  Wakati timu ikiendelea ku struggle dakika ya 95 zikiwa zimebaki sekunde game kuisha, ikapigwa kona na kipa akaenda kushambulia pamoja na wachezaji wenzake.

Mpira kati kipa wa Orlando kapangia, ukaingia kati kipa wa Baroka FC akapiga tik tak hatari mpira nyavuni. Kila timu ikamaliza na poinrt zake moja moja.