SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 4 Novemba 2016

T media news

VIDEO MBUNGE LUSINDE ALIVYOSIMAMA KUSEMA ANAWAPONGEZA UPINZANI


Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde hajapendezwa na baadhi ya wabunge kukosoa utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli pamoja na watendaji wake na ameamua kuyaongea haya >>> ‘wanaposimama kusema serikali imefilisika msifikiri wanaisema serikali… HAPANA‘

Kutazama zaidi bonyeza play kwenye hii video hapa chini: