SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 4 Novemba 2016

T media news

MAHAKAMA YATOA KIBALI LISSU AKAMATWE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kutokana na kushindwa kufika mahakamani hapo kusikiliza keshi yake.Hati hiyo imetolewa leo(Alhamisi) na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya wakili wa Serikali, Patrick Mwita kuomba mahakama ifanye hivyo.

Pamoja na kwamba mdhamini wa Lissu aitwaye Robert Katula kueleza kuwa Lissu yuko Mwanza kwa ajili ya kesi nyingine hakimu Sima alitoa kibali kumkamata.