SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 5 Novemba 2016

T media news

RAIS MAGUFULI ASEMA AJIRA MPYA ZILISIMAMA KWA MIEZI MIWILI PEKEE


Leo Rais Magufuli amesema ajira zilisitishwa kwa muda muda mfupi na sasa zilishafunguliwa na serikali imeajiri watu 5000 hadi sasa katika vyombo mbalimbali.Kama umekaa unasubiri ajira zifunguliwe serikalini,basi ndo ujue zilifunguliwa 
miezi miwili tu tangu zifungiwe.