Msanii wa gospel wa Kenya, Will Paul Msafi amejikuta kwenye kitimoto baada ya mashabiki wake kumponda kwa kugeza uvaaji wa Diamond.
Willy ambaye humchukulia Diamond kama role model wake, alipost picha inayomuonesha akiwa kwenye uchukuaji wa kile kinachoonekana ni video yake ijayo, akiwa amevaa koti jekundu lenye drafti na rangi nyekundu, blue na nyeupe.Pia alikuwa amevaa kofia ya soksi nyeusi, miwani, jeans na viatu vyeusi pamoja na saa na cheni.
Pamoja na kupendeza, tatizo limekuja kuwa kwamba hizo ni aina ya nguo alizokuwa amevaa Diamond wakati alipoenda kwenye interview kwenye kipindi cha Jahazi cha Clouds FM siku chache kabla picha za Willy.
Mashabiki wengi wamemkosoa msanii huyo kwa kuendelea kuwa nakala ya Diamond katika mambo mengi.
Hizi baadhi ya comments za mashabiki:
cafriainc: @willypaulmsafi your just a copycat of @diamondplatnumz who am a big fan of..
t.misiani: @willypaulmsafi Ku copy swagg za diamond bro …be Creative……acha kujiangusha 😂😂😂😂..
mcchris_made_it: u claim gospel yet you look upto diamondplutnumz,from jina to now copying a whole look! smh
shanteylucas: I almost thought this is @diamondplatnumz kumbe ni willy pozee opps my baad!
ibrahim_mwashighadi: Hii ndo kuharibu injili sasa….do u know the meaning of WASAFI Mr willy? Now u going wrong
lynnipascal: I guess you are copying @diamondplatnumz so much willy….be yourself young man and you will go far
carolkingori_jasmine: A pc of advice bro,don’t try to be someone else be ua self…you’re a gospel artist not a comedian… You should represent God but not trying to be like Diamond.
challe_defred: @willypaulmsafi you are one talented young man but u losing urself with this delusion of grandeur #stop coping everything diamond is doing… Criticism is good and when someone corrects u appreciate don’t get mad and arrogant.. Its high time u v a mentor
catherinemacharia: Step aside…. Look at that picture again… What does it say? #youlackoriginality get inspired but never copy paste like a campus kid. This is why our music industry is dead AF
shariffa_33: Please live him alone Diamond ni role model wake I don’t see any thing wrong with the way he dresses uko dope ma feelings pelekeni police station
ruthogutu: Woow looking good.Fanya is one of my favourite That dressing tho ,,,,–‘Diamond’