SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 6 Oktoba 2016

T media news

WAZIRI NAPE MOSES NNAUYE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA 2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 na wadau wa Mashindano ya urembo nchini walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akishiriki kupanda miti wakati alipokutana na kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania 2016 wakipanda miti katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha pamojja na washiriki wa Shindano la Miss Tanzania 2016 mara baada ya kufanya mazungumzo nao na kushiriki zoezi la upandaji miti lililofanyika Mjini Dodoma.

Picha na Kitengo cha Mwasiliano WHUSM.