SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 11 Oktoba 2016

T media news

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEWA NA MWAKILISHI WA FAO HAPA NCHINI.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na kilimo nchini (FAO) Bwana Fred Kafeero (Kulia)alipomtembelea  Waziri Mkamba Ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.


 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mbarak Abdulwakil pamoja na Mkurugenz i Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Magdalena Mtenga wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba ( hayupo pichani) alipokuwa akiongea na mWakilishi wa FAO Nchini.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba akifurahia jambo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na kilimo nchini (FAO) Bwana Fred Kafeero wakati wa mazungumzo juu ya shughuli za mazingira yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.