SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 7 Oktoba 2016

T media news

WANAWAKE WENGI MJINI WAMLALAMIKIA HUYU MTUHUMIWA KUWA NI JAMBAZI WA HATARI SANA!!

@Nimepigiwa simu na Wananchi 4 kina mama wakidai kufanyiwa unyama wa ajabu sana na huyu mtu hapo juu, in almost all cases wanadai huyu Mtuhumiwa aliwahadaa kwa kwenda kazini kwao kama mteja wa kampuni wanazozifanyia kazi and then akawaomba kukutana nao lunch kikazi na mara kwa mara alikuwa na tabia ya kutumia Hotel moja ya Kimara Mwisho......ni kwamba ukifika pale kwenye hiyo Hotel unapewa supu au kinywaji ambacho ukishkunywa baada ya muda unasinzia for like 10 minutes unakuwa kama umepoteza fahamu then ukirudiwa na fahamu vitu vyako vyote vya thamani hasa dhahabu au pesa kwenye pochi unakuta zilishapotea na yeye hayupo tena.....I hope Polisi itafanya uchunguzi wa kina kwa sababu huyu mtu inasadikiwa ameibia wananchi wengi sana hasa Wanawake! - le Mutuz Nation