TANGA: Aliyekuwa M/kiti wa Kitongoji cha Mapinduzi, Abdalah Bakari (40) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kuchomwa moto. Baada ya mauaji hayo mwili ulitelekezwa pembeni kidogo mwa barabara itokayo Mkata kwenda Chalinze......
habari michezo na burudani