SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 13 Septemba 2016

T media news

Rais Zuma Arudisha Pesa za Serikali Alizotumia Kukarabati Nyumba yake Binafsi

AFRIKA KUSINI: Rais Zuma amerejesha pesa za umma alizotumia kukarabati nyumba yake binafsi, kiasi cha Dola za Marekani Milioni 23. 
Sakata hili limewahi kutishia wadhifa wa Zuma, pale vyama vya upinzani vilipo shinikiza bungeni apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye ili ang'oke madarakani.