Baraza la Madiwani Jiji la Arusha wametakiwa kurudisha posho jumla kiasi cha shilingi milioni 40.8 walizolipana kinyume cha sheria.
Wasiporudisha watakuwa wanakatwa kila mwezi kwenye mishahara yao
habari michezo na burudani