SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 6 Agosti 2016

T media news

Baada ya MO kutaka kuinunua Simba SC, Manji kataka akodishiwe Yanga


Bado headlines za wekundu wa Msimbazi Simba kutaka kununuliwa na bilionea wa 21 Afrika Mohammed Dewji zinatawala katika vichwa vya habari, mfanyabiashara na mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji katika mkutano mkuu na wanachama uliofanyika leo August 6 Diamond Jubilee ameomba wanachama wa Yanga wamkodishie timu. Manji ameomba apewe timu ya Yanga na nembo ya klabu hiyo