SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 6 Agosti 2016

T media news

AT NGORONGORO CONSERVATION UTAKUTANA NA THE SHIFTING SAND MCHANGA WA AJABU SANA LIVE!!



Huu unaitwa The Shifting Sand ni mchanga wa ajabu unaopatikana ndani ya Ngorongoro Conservation Area, ni mchanga unasogea kwa pamoja kama ulivyo kwa miaka mingi iliyopita. Ni mchanga uliotoka kwenye Mlima wa Oldonyo Lengai ambao |Wamasai wanaoishi karibu wanaamini ni Mlima wenyewe direct connection na Mungu. Mchanga huu ulitokana na Mlipuko wa Volcano kutoka Mlima Oldonyo, ni mweusi kwa rangi tofauti na mchanga wa kawaida.