SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 20 Julai 2016

T media news

ZARI THE BOSS LADY NAYE ALIPUKA,AWAPA MAKAVU WANAODAI KWAMBA ANAMCHUNA DIAMOND PLATINUMS

Kuna Baadhi ya watu huko mitandaoni wanalalamika kuwa Baby Mama wa Diamond Zari Hassan ni Gold Digger, Kuwa yupo kimaslahi zaidi kwa Diamond na anamchuna ipasavyo...
Baby Mama huyo maneno yamemkuna na kuwafungukia kama ifuatavyo:

'When people call you a gold digger show them how you dig, too much money out there for all of us. Why hate? Stop BITCHCRAFTY it's the 21st century'


Akaendelea Hivi:

'Say YES to this type of gold digging or digging gold. And if your man happens to spoil you its because he can afford it and your his 👑ueen you deserve it..... yes am a GOLD DIGGER 😊 coz I earn every that comes my way. Now let's all go and dig some gold.'