Mangekimambi_ Waliokuwa wananijua Kabla ya kampeni za Uchaguzi 2015 wanajua nilikuwa nawakosoa CCM daily Tena Kwa Maneno makali mpaka watu walishangaa nilipatwa Na nini kuwafanyia CCM kampeni insta.
Kilichonipata first and foremost ni upinzani kubeba uchafu wooote uliokuwa CCM. Ni upinzani kukosa credibility kuliko hata CCM. Nikakaa nikafikiria 2 things who would I rather support Lowassa or Magu. Secondly, I knew for a fact kumsupport Lowassa ni kujichafua bure Na kupoteza muda because he can't win. Yani Hata 90% ya kura zingekuwa zake still asingeshindaaaaaa, just like ZnZ. Yani nilikuwa nawashangaaaaa wale waliokuwa wanajitoa CCM Kwa mbwembwe Thinking they are going to win. Like it's impossible for anyone to win against CCM under current conditions. Hata malaika ashuke leo awe mgombea wa upinzani still CCM watashinda tu.
Nilicho realize Ni kwamba watanzania wengi wanajua umuhimu wa katiba kubadilishwa Ila pia hawajui just how much! I think Hata upinzani Na wabunge wake bado hawajua just how much!
Hii katiba Ndo hirizi ya CCM. Zindiko la CCM Ni hii katiba. CCM hawatokaaa kung'oka bila hii katiba kubadilika. Never ever! Upinzani watapoteza Sauti Na nguvu zao bungeni kufichua masiri mazito sijui nini but mwisho wa siku Katiba itampa ushindi CCM. Hii katiba Ni stronger than kura za wananchi. .
Seriously nilikuwa nacheka watu wanasema wanaenda kulinda kura sijui kulala vituoni. Hata mlinde kura Kwa bunduki. Mtapotezwa tu, Znz si hao kura zililindwa Ila katiba ikamaliza fitna ..
People are fighting the wrong war, sijui Mafisadi, sijui kujenga vyama vipya vya siasa, all that means shit as long as katiba iko vile vile.
For as long as Katiba iko intact na CCM inakaa madarakani. Jinsi ya kuibadilisha hiyo katiba ndo challenge iko Hapo.
Wewe jiulize kuna nchi gani duniani chama tawala kilitoka madarakani bila kuwepo uwezekano wa elections Kuwa contested in court?? Hakuna!
Kusema ukweli baada ya hii issue ya juzi ya Nape kuwakataza TV binafsi kurusha matangazo live from bungeni eti wawe wanakopy kile wanachorusha wao CCM wamenichefuaaaaaaaa Kwa Kweli. Tanzania kwanza then ndo mambo ya chama