SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 12 Machi 2016

T media news

TIMU ya Liverpool Yamtangaza Huyu Kuwa Kocha Mpya Baada ya Kumtimua Steve McClaren


Rafael Benitez ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Newcastle kufuatia kufutwa kwa aliyekuwa kocha wa kilabu hiyo Steve McClaren.

Benitez amewahi kuzinfundisha timu za Liverpool,Chelsea,Real Madrid,Intermilan na Valencia anaichukua timu hiyo ikiwa imesalia pointi moja kushushwa katika jedwali la ligi ya Uingereza huku kukiwa kumebakia mechi kumi pekee.
Benitez ametia saini kandarasi ya miaka mitatu na kuwaleta makocha Fabio Pecchia,Francisco de Miguel Moreno na Antonio Gomez Perez.