SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 2 Machi 2018

T media news

RC Makonda, Wema Sepetu Mambo ni Moto..... Awapa Makavu Wanaomchukia

Huwezi kumwambia kitu malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu kwenye utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Wema Kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya kiongozi huyo ya kumsifia huku akitupa jiwe gizani kwa kuandika ujumbe kwa watu wanaomchukia.

And he keeps doing what he does Best… My RC… Mtumishi wa Mungu… .

Hujalazimishwa kupenda lakini… Gnyt World… Ok bye…