Meya wa Manispaa ya Kigoma ujiji ameweka msimamo wake wa kuendelea kuwatoza tozo ya shilingi elfu 50 badala ya elfu 15 wafanyabiashara wa vibanda vya masoko makuu ya Mwanga na Kigoma, licha ya Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Humphrey Polepole kutangaza kuwa Rais Magufuli ameondoa sheria mpya iliyopandisha tozo la ushuru.
Chanzo: Azam Tv