SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 16 Machi 2017

T media news

Zijue Tabia za Wanaume Wanaotumia Mitandao ya VODA/AIRTEL/TIGO na HALOTEL..!!!


Hii ni  maalum kwa akina dada kujua tabia za wanaume wanaotumia mitandao ifuatayo.

VODACOM

~Wanaume wa mkoa huu ndio mtandao wao mkuu. Yaani hapa huwaambii kitu kabisa

~Wanaume wengi wanaotumia voda ni bahili sana

~Unatumiwa na wanaume wengi wanaofanya biashara za kati na ndogo ndogo 

~Unapendwa sana na wanaume wa mikoa ya kaskazini

TIGO

~Ni mtandao unaotumiwa zaidi na vijana hasaa wanafunzi wa sekondari na wale wachuo

~Kama wewe ni mwanamke mchunaji mwenzangu hapa kupata vibuzi vya maana ni ngumu

~Ni mtandao unaopendwa na wanaume wa kipato cha chini 

~Wanaume wa tigo wengi ni vijana wapenda miteremko na ofa za bure

AIRTEL

~Ni mtandao unaopendwa na wanaume wa mkoa wachache hasaa wale wa mkoa wa mara na wale wanaotoka bukoba akina Rweyemamu

~Mtandao huu unapendwa sana na wanaume wasomi

~Ukipata buzi hapa umelamba dume kwani sifa ya wanaume wa mtandao huu sio bahili

HALOTEL

~Unapendwa na vijana wengi wapenda miteremko na ofa za bure

~wanaume wengi wanatumia mtandao huu huwa na macho mekundu kutokana na kukesha usiku sababu ya kupenda ofa za Data

~Ni ngumu kupata kibuzi cha maana humu

Tuandikie na Wewe Uzoefu Wako Juu ya Suala Hili...!!!