SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 15 Machi 2017

T media news

Rungwe - Ningekuwa Rais Ningehakikisha Watanzania Wanapata Chakula Wanashiba Ndii,Halafu Mengine Ndio Yangefuata


Mwenyekiti wa chama CHAUMMA Mhe Hashim Rungwe yupo Kikangooni live anaongelea mambo mbalimbali.

Ningekuwa Rais jambo la kwanza ningehakikisha wananchi wote wanapata chakula, wanashiba kwanza mengine baadaye.

Ningefanya bei ya unga iwe shilingi 250, watoto shule wapate chakula, wapate uji, hawawezi kusoma na njaa.

"Chama Cha Mapinduzi hakina utamaduni wa kuwaheshimu watu wengine wenye uwezo ambao wanatoka vyama vingine.