SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 14 Machi 2017

T media news

Fake News: Watangazaji 9 wa TBC Waliotangaza Trump Amsifia Rais Magufuli, Wasimamishwa Kazi...!!


Watangazaji tisa(9) wa TBC 1 walioandaa, kuandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi.

Mkurugenzi wa TBC Ayubu Ryoba alikasirika sana na kuamua kuwasimamisha wafanyakazi hao wakiongozwa na Gabriel Zhakaria.