Uyu mtoto anaitwa AYOUB s/°MOHAMMED kabila MZIGUA ameokotwa maeneo ya nsimbo Mkoani KATAVI, baada ya kutorokwa na baba yake mzazi na mama yake Wa kambo ambao walikuwa wanaishi uku katavi.
MTOTO KASEMA mama yake mzazi yuko tanga mjini anaitwa TATU au mama rajabu kazi yake anauza mgahawa tanga mjini kalibu na stend ya mabasi yaendayo dar.
MAMA Ni MZIGUA WA CHANIKA.
Kwa sasa uyu mtoto yuko kwa mtendaji Wa kijiji nsimbo
Number yake ya simu ni 0752396669.tunaomba ujumbe huu usambazwe kwa watu Wa tanga kwa maana uyu mtoto anataka kurudi kwa mama yake tanga.
Unaweza pia kusambaza kwenye ma grp ya whtpp.