Mzee wa Ubuyu Soudy Brownkafanyiwa interview na TBC amabapo ana dai ndio sehemu iliyomlea amefungukia aanvyotukanwa instagram na anavyochulia Pia amesema anapenda kuvaa mask kama swag tu, na akiivua anakuwa sio Soudy Brown tena Video:
habari michezo na burudani