Tarehe kama ya leo, 29 October 1959, takribani miaka 57 iliyopita katika kijiji cha CHATO, alizaliwa mtoto kwenye familia ya mkulima.Mungu alimpa ulinzi na akalelewa kwa misingi ya kitamaduni. Mtoto huyo ndiye kiongozi wa nchi yetu,ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
HAPPY BIRTHDAY RAIS WETU MPENDWA.