👊,,,,Kumekuwepo na wabunge wanao waraghai wananchi kuhusu pesa za mfuko wa jimbo... Wabunge hao wanatumia pesa za serikali na kusema pesa zao na hata kuandika majina yao..... Mmoja wa wabunge hao ni Ester Bulaya wa Bunda Mjini ambaye alitengeneza madawati kwa FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO na kuyaandika jina lake ili ionekane ametoa msaada kwa huruma na pesa yake.... Niwapongeze madiwani wa Halmashauri ya Bunda mjini waliogomea madawati hayo na kukataa UDANGANYIFU HUO..
Baada ya Kukataliwa kwa madawati kutokana na Kudanganya..... Mbunge huyo aliamua kufuta Jina lake na kuandika jina la Jimbo kama ilivyotakiwa na sasa madiwani hao wameyapokea madawati Hayo.
#MY_TAKE Madiwani na Wabunge watambue kuwa zama za kuwahadaa wananchi kuwa Pesa yao ndiyo imefanya shughuli flani ya maendeleo zimepitwa na wakati... Maana Sasa hivi kila mwananchi aliyetimamu anajua Kila mradi umetekelezwa kwa fedha IPI.....
Wananchi waendelee Kupambana na Wabunge Walaghai kama hawa,
Hata Hivyo HongeraEster Bulayaa Kwa Kutambua Makosa yako.... Najua ulikuwa unajaribu.....
BUNDA HATUJARIBIWI..... NA HATUTA JARIBIWA...!!
Mawazo Maduhu