Raisi wa Uganda Yoweri Museveni haishiwi vituko kila kukicha.Kutoka kupokea simu hadharani barabarani mpaka kucheza mpira kwenye barabara haya mambo yanachekesha na kufurahisha sana jamani.
Mambo kama haya yamemfanya Raisi Museven kuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa katika nchi ya kenya ambako watu wamekuwa wakiiga mitindo yake kwa vichekesho mbalimbali.
Tazama hii picha hapa chini akicheza mpira hadharani kabisa tena barabarani
Picha ya rais wa Uganda akionyesha ukali wa kucheza mpira
Tukuweka mpira pembeni tukio lake la kuongea na simu hadharani lilikuwa gumzo kila mahari,wachunguzi wa mambo wanadai kuwa,hakutaka walinzi wake wasikie kile alichokuwa anakizungumza kwenye simu ndio maana akasimamisha gari lake pale
Rais wa kenya akipokea simu hadharani tena barabarani.