Huu Ndio Mwonekano wa Ujauzito wa Jokate Kwa Sasa (Picha)Kumekuwa na tetesi kwa muda kuwa Jokate Mwegelo ana ujauzito huku akiwa hapendi sana kuuonyesha ha...
Kumekuwa na tetesi kwa muda kuwa Jokate Mwegelo ana ujauzito huku akiwa hapendi sana kuuonyesha hadharani, Lakini kwenye picha hii aliyo iweka IG inaonyesha jinsi ujauzito wake unavyo onekna huku yeye akiwa ameipa caption isemayo “For the love of mirror selfies. Nanight loves.