SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 25 Julai 2016

T media news

MOSE IYOBO AWAKA VIKALI KUHUSU SHABIKI ALIYEMTOLEA MANENO MACHAFU MTOTO WAKE NA AUNT EZEKEL


Mose Iyobo ni dancer wa Diamond Platnumz lakini pia ni Baba wa mtoto mmoja aliyepata na mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel, usifikirie huwa anazipotezea comments au hasomi kinachoandikwa mitandaoni tena Instagram.Sio kwenye page yake tu hata kwa wengine huwa anajikuta anasoma comments wakati mwingine ambapo anasema >>> ‘Comments zinachanganya, anakuja mtu anaongea vitu tofauti… unakuta umepost picha yako kwa furaha zako alafu anakuja mtu kuongea kitu cha kipumbavu‘
‘Kuna mpumbavu juzi kati hapa kabla ya birthday ya mtoto wangu Petitman alimpost mwanangu alafu kuna mpumbavu anajiita sijui official nani nani alimchana sana mwanangu na kusema mtoto kakomaa hatoolewa, nammind sema ndio hivyo yale ni majina na sio sura zao lakini ningekua namjua ningemtoboa‘ – Mose