Mr and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Bongo Flava anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika Mashariki Afrika na Dunia Diamond Platnumz ndani ya mgahawa Sterling Virginia wakati Diamond na crew yake walipokua wamesimama kwa muda uwanja wa ndege wa kimataifa.Dulles.
Missy Temeke na washirika wake Mr and Mrs Ameir wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa Bongo Flava anayekimbiza vibaya mno kwa sasa Afrika Mashariki Afrika na Dunia Diamond Platnumz na Crew yake ndani ya mgahawa Sterling Virginia wakati Diamond na crew yake walipokua wamesimama kwa muda uwanja wa ndege wa kimataifa.Dulles.
Missy Temeke na Diamond Platnumz