Mkuu wa Kamandi Kuu ya Marekani, Admirali Brad Cooper anasema katika saa 72 zilizopita, kikosi cha mabomu cha Marekani kimeshambulia karibu maeneo 200 nchini Iran.
Marekani, kwa sasa, imezamisha zaidi ya meli 30 za Iran, alisema na kuongeza kuwa
"katika saa chache zilizopita, tuliipiga meli ya kubeba ndege zisizo na rubani ya Iran yenye ukubwa wa takriban meli ya kubeba ndege ya Vita vya Pili vya Dunia. Na hivi tunavyozungumza, inawaka moto."
alisema kamanda huyo wa Marekani
