Habari sanaa na michezo

Jumapili, 8 Machi 2026

T media news

"Huyu ndiye mpiganaji 'Zalata'


Jenerali Ahmed Vahidi ambaye ameteuliwa ndiye 'Zalata' wa kweli; yeye ndiye kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) sasa. Anajulikana kuwa ni wa mrengo mkali wa kijeshi ambao unaamini kuwa mambo hayawezi kurekebishwa isipokuwa kwa maamuzi ya kijeshi na kulazimisha msimamo, na anaunga mkono utengenezaji wa bomu la nyuklia. Mtu huyu baba yake wa kiroho ni Qasem Soleimani, ambaye ndiye aliyemlea na kumtunza, na kwa upande wa nasaba ni ami yake (mjomba). Hivyo, kuna deni la damu kati yake na Marekani."