SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatatu, 12 Machi 2018

T media news

ZIARA YA KATIBU WA CCM WILAYA YA BUNDA AMEANZA ZIARA YAKE KATIKA KATA YA BUNDA MJINI


March 12,2018

Katibu wa ccmWilaya ya Bunda Ndg malima na Katibu wa UWT Ndg agines methu akiambatana na diwan viti maalum kata ya Bunda  mjini. wameanza ziara rasmi ya Kuimarisha Chama na Jumuiya katika Wilaya nzima ya Bunda yenye Majimbo Matatu ya Uchaguzi

Katika ziara ya leo iliyoanzia Kata ya BUNDA MJIN na ambapo Katika Kata hiyo Viongozi hao walikutana na Wajumbe wa halimashauri kuu pamoja na baadhi ya Viongozi wa jumuiya.

Katika Ziara hiyo katibu wa CCM Wilaya alielezea madhumuni ya ziala yake katika kata ya bunda na kata zingine kua kupokea changamoto zinazo kikabili chama na wananchi na kuwataka wajumbe wa halimashaur kuu za kata kuwatathimin viongozi wa chama na serikari wanafanyaje kazi katika ngazi zao.

Katibu pia alisisitiza kua wimbi la madiwani kuamia ccm sio tendo la kuwanunua  madiwani hawo kutoka upinzani kuamia ccm ni tendo ambalo madiwani wamelidhiswa na utekelezaji wa ilani ya ccm chini ya mwenyekiti wake jonh pombe magufuli.

Katibu ndg mobutu malima alipokea keleo mabali mbali za wanachaa nakuzitolea ufafanuzi baadhi ya kelo na kujibu maswali.

Mwisho, Wanachama na Viongozi walikumbushwa kutimiza wajibu wao ili waweze kuimarisha chama na Jumuiya zake .

_HAPA KAZI TU_

Imetolewa na katibu wa tawi:
Ndg tawfiq massini
Kwa niabaya ya
Katibu wa CCM Wilaya
Bunda,Mara.