Baada ya Bongo superstar (Comedian) Idriss kupata dili kutoka kwa calvin klein nakuanza kupost picha akiwa amevaa boksa ambapo awali wengi walimshambuliwa kwa muonekano huo, na baadae kupost kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa pamoja walimwambia kuwa anakiba.....
utani huo umezidi kushika hatamu kwenye mtandao huo wa kijamii wa instagram baada ya mtangazaji soudybrown kupost picha ambayo imeonyesha tafsiri ya maajibizano ambayo yalikuwa yanaendelea.