SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 9 Januari 2018

T media news

Polepole Atangaza Siku Ambayo CCM Itampokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani Toka DSM

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole ku-tweet kuwa muda wowote watamchomoa kiongozi mkubwa upinzani toka DSM. Leo January 8, 2018 ameitangaza siku ya kesho kuwa ndo siku watampokea kiongozi huyo.

Namnukuu Polepole >>> “Kesho Tar 9/1 saa 3:30 Asubuhi kutakuwa na shughuli ya kumpokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani ambaye ameomba kujiunga na CCM na atapokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara.”

Humphrey Polepole
@hpolepole
TAARIFA KWA WANAHABARI

Kesho Tar 9/1 saa 3:30 Asubuhi kutakuwa na shughuli ya kumpokea Kiongozi Mkubwa wa Upinzani ambaye ameomba kujiunga na CCM na atapokelewa na Mzee Mangula Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara.

Ukumbi wa Checkpoint Pugu.

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
OND LUMUMBA