SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 6 Desemba 2017

T media news

Mahakama Yamfutia Kesi ya Kusambaza Dawa Feki za ARV Madabida

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki za kufubaza makali ya ukimwi (ARV) na kujipatia Sh milioni 148 kwa njia ya udanganyifu na kukamatwa tena, kusomewa mashtaka