SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 15 Novemba 2017

T media news

Zimbabwe Kumechacha..Jeshi la Zimbabwe Limedhibiti Kituo cha Runinga Cha Taifa ZBC

Jeshi la Zimbabwe limedhibiti kituo cha runinga cha ZBC na kurusha taarifa kuwa linawasaka wahalifu mbalimbali na kwamba hayo si mapinduzi kwani Rais Mugabe na familia yake wapo salama.