SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 14 Septemba 2017

T media news

Zitto: Serikali imekopa Dola Mil 500 Mwezi August 2017 Kimya Kimya


Zitto Kabwe Kupitia Ukurasa wake wa Twitter ameandika Haya:

"Mwezi Agosti Mwaka 2017 Serikali imechukua mkopo wa US$500m kutoka Benki ya CreditSuisse. Riba ya mkopo huu ni kubwa mno na Umma haujaelezwa"