SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 1 Septemba 2017

T media news

T MEDIA NEWS INAWATAKIA WAISLAMU WOTE EID MUBARACK

Uongozi wa T MEDIA NEWS, unawatakia kheri na amani waislamu wote nchini na nje ya nchi katika kusherehekea Eid Hajj






Mkurugenzi Mkuu wa T MEDIA NEWS kwa niaba ya wafanyakazi wote wa T MEDIA NEWS,  anawasihi Watanzania wote kutumia siku hii kwa kushereheka na sio kuhatarisha amani kwa kufanya matendo mauvu yenye kuhatarisha amani na yenye kumuudhi mwenyezi Mungu.