SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 14 Septemba 2017

T media news

Breaking News: Magari ya Mwendo Kasi yagongana Maeneo ya Shekilango

Mabasi ya mwendokasi yamegongana yenyewe kwa yenyewe hapa maeneo ya Shekilango. Huduma imesimama kwa muda sababu barabara ya Mwendo kasi ni nyembamba.

Ajali hii imetokea leo Asubuhi: